KATIBU MKUU KIONGOZI ZANZIBAR APONGEZA JUHUDI ZA SERIKALI KUENDELEZA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU NCHINI

 

.......................

Na Faisal Abdul Jalil,COSTECH

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar, Mhandisi Zena A. Said atembelea Banda la COSTECH Leo katika Sherehe za ufunguzi wa Maonesho ya 46 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba- Jijini Dar es salaam.

"Mimi nimevutiwa sana na nimebeba baadhi ya machapisho kutoka COSTECH kwaajili ya kwenda kuyafanyia kazi Zanzibar ili tuweze kufaidika na mambo ambayo nimeyaona hapa" alisema Mhandisi. Zena

Akihitimisha ziara hiyo fupi katika Banda la COSTECH " Naipongeza sana Serikali kwa fedha inazo wekeza katika kufanya tafiti mbalimbali, tuutumie utafiti ili kupata matokeo haya uweze kutusaidia kufanya mambo yetu kisayansi" alisema

0/Post a Comment/Comments