WAZIRI NAPE KUWA MGENI RASMI KATIKA TAMASHA LA REJOICE

 


Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Zimebaki Siku chache kuelekea Katika tamasha la Kusifu na Kuabudu la Rejoice chini ya kwaya  moravian efatha choir ambalo litafanyika siku ya ijumaa ya Tarehe 16  Katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam ambalo linakutanjsha wasanii mbalimbali wa NYIMBO za injili wakiwemo joyous celebration kutokaSouth Afrika.

Akizungumza na waandishi Habari Leo Tarehe 13 Katika Uwanja wa Uhuru  mlezi wa kwaya ya Moravian efatha Yona sonelo amesema maandalizi yamefikia Asilimia 95  Katika kuelekea siku ya tamasha.

Amsema Siku ya kesho kwaya Moravian itaanza mazoezi ya mitambo ya sauti na siku ya alhamic kwaya ambazo wemezialika watafanya mazoezi ikiwemo kwaya ya joyous celebration kutoka south Afrika.

"Siku ya Tamasha tarehe 16 ya mwezi wa tisa Mgeni Rasmi atakuwa ni waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe Nape Moses Nnauye"Amesema Yona.

Pia amsema tamsha ya rejoice litaanza kuanzia saa 11 jioni ambazo waimbaji wataanza kuimba mpaka saa alfajiri ya Tarehe 17 siku ya jumamosi.

Kwa upande wa Usalama watu Siku tamasha amsema wamesha zungumza na jeshi polisi kwaajili ya ulinzi wa Siku hiyo na watu Huduma ya kwanza kwaajili Usalama wa kiafya Siku ya Tamasha.

Aidha amesema tiketi Bado zinapatikana Katika app ya  NILIPE ambapo zinaanzi Shilingi  Elfu ishirini, Elfu20, Elfu Hamsini , VIP Laki Moja, VIp Laki tano na VIP millioni 1.

"Tunawakaribisha watanzania wote Katika Tamasha la kuombe Nchi yetu ya Tanzania na Kwa wengine wanaotaka kununua tiketi uwanjani pia zitapatikana" amsema Yona sonelo.

0/Post a Comment/Comments