Pichani ,Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji Ojambi Masaburi akizungumza na wananchi wa Pugu Stesheni Bangulo .
Habari picha ziara ya Naibu Meya Ojambi Masaburi Pugu
................................
Na Heri Shaaban Ilala
Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar aes Salaam Ojambi Masaburi Leo Octoba 31 /2022 amefanya ziara Kata ya Pugu Stesheni Bangulo katika mgogoro wa Urasimishaji chini ya Mipango Miji.
Katika ziara hiyo Masaburi ametatua kero ya Madarasa mapya ,ambapo Halmashauri wapo katika mchakato wa Ujenzi wameshatenga fedha za Ujenzi ,fedha zipo akaunti ya Kata .



Post a Comment