WATANZANIA WAHIMIZWA KUJIUNGA KWENYE VICOBA ILI WA JIKWAMUE KIUCHUMI.

.........

Na. Dominic Haule.

Katika kuhakikisha wanaadhimidha siku ya VicobaTanzania Jamii imetakiwa kuwa na mwamko wa kujiwekea akiba Kupitia akiba kwenye Vicoba ili waweze kujikwamua Kiuchumi na kuondokana na  wimbi la Umasikini.


Hayo amesema Jijini Dar es salaam Rais wa Umoja wa Vicoba Tanzania Bwana Mohamed  Bassanga wakatika wa Mkutano wa Kuadhimisha siku ya Vicoba Tanzania ikiwa lengo kutoa Elimu kwa wanavikoba juu ya Umuhimu kwa Kujinga kwenye Vikoba.


Bwana Bassanga amesema Kupitia Vicoba unawasadia wao kufanya Shughuli za zao za Maendeleo bila vikwazo hasa maeneo ambayo pembezon ambako bank hazija fika Kupitia Mcoba inasadia kutunza pesa zao na kubaki katika hali ya Usalama.


Hatahivyo amesema kuwa Hali ya upatikanaji wa mikopo upo vyema sana hauna vikwazo vingi ambao zaman vilikuwa vina leta changamoto Wakati wa kuomba Mikopo hiyo. 


Katika hatua nyingine Amewasihi Watanzania kuweza Kujiunga katika Mcoba kwa kuungwa huko inasadia wao Kupata faida nyingi ikiwemo kupatiwa mikopo yenye liba nafuu na kusababidha kuchochea kukua kwa Uchumi wao bila kujali Hali yake.

Naye Bi Dorise  Mlenge Afisa Masoko  kutoka Taasisi ya UTT AMIS  wameamua Kushiriki na katika Kuadhimisha siku ya Vicoba ili kuhakikisha Wana wahimiza Watanzania kuendelea kuwekeza katika Mifuko tofauti ikiwemo UTT AMIS kwakufanya hivyo itasadia  wao kuongeza na kukua katika mitaji  juu ya uwekezaji.

Ameongeza kuwa Amewataka Watanzania kuendelea kuwekeza  katika Mifuko tofauti ili waweze kujionea faida tofauti za ikiwemo kukuza mitaji yao pamoja na kuongeza hisa katika mitaji.

0/Post a Comment/Comments