...........
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia
Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kufuatia ajali ya ndege ya Kampuni la
Ndege ya Precision Air kuanguka katika Ziwa Victoria baada ya kushindwa kutua
kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais Samia ameandika;Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali wa Ndege ya Shirika la Precision katika Ziwa Victoria mkoani Kagera.Natuma salamu za pole kwa wote walioathirika na ajali hii.Tuendelee kuwa watulivu wakati zoezi la uokoaji likiendelea kuhu tukimuomba Mwenyezi Mungu atusaidie.


Post a Comment