SAADY KIMJI AMEJITOSA UJUMBE BARAZA KUU WAZAZI TAIFA

..............

Na Heri Shaaban (Ilala)

SAADY KHIMJI amejitosa katika kinyang'anyiro Cha kugombea Baraza Kuu Jumuiya ya Wazazi Taifa Viti vitatu Bara 

Akizungumza amesema anakipongeza Chama Cha Mapinduzi Halmashauri Kuu CCM Taifa Kwa Uteuzi huo kugombea nafasi hiyo .

Kimji alisema katika uzoefu wa Uongozi ndani ya chama  MWENYEKITI  UVCCM  Tawi na Kata ,nafasi zingine za uongozi Katibu wa Uchumi na fedha Kata ya Ilala

Alisema bafasi zingine za uongozi ambazo ameshika  Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Klabu ya Yanga (EXCOM)

Katbu wa uhamasishaji Chipukizi Mkoa Dar es Salaam,Mjumbe wa Mkutano Mkuu CCM Taifa 2022 /2027,

Mjumbe wa Mkutano Mkuu Wazazi Mkoa Dar es Salaam Diwani wa Kata ya Ilala 2015 mpaka Sasa ,Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Naibu Meya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam 

Chagua Saady Khimji 

Baraza Kuu la Wazazi Taifa Viti vitatu Bara

 

0/Post a Comment/Comments