Xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa njiani kutokea Jijini Mwanza kuelekea katika Visiwa vya Ukerewe kufuatia agizo alilotoa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Isdor Phillip Mpango mnamo Novemba 25, 2022 la kumtaka Waziri Ummy Mwalimu kufika katika Kisiwa cha Ukerewe na timu yake kuchunguza mgogoro wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ukerewe na kuchunguza ubadhirifu wa fedha za mradi huo.
Katika safari hiyo Waziri Ummy Mwalimu ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Adam Malima





Post a Comment