MATUKIO KATIKA PICHA: UFUNGAJI WA KIKAO CHA PILI CHA TRAWC

 

Hafla fupi ya ufungaji wa kikao cha pili cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRAWC) kilichofungwa na Mwenyekiti wa baraza hilo ambaye pia ni Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Alphayo Kidata leo tarehe 22/2/2023 katika Ukumbi wa PSSSF Makole, Dodoma.

0/Post a Comment/Comments