RAIS DK.MWINYI AMEKUTANA NA ASKOFU MKUU WA KANISA LA WAADVENTISTA WASABATO TANZANIA

 


xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania, Dkt.Mch. Godwin Lekundayo na Ujumbe wake waliofika  Ikulu kwa Mazungumzo   .

Aidha,  Askofu  Dkt.Lekundayo ameipongeza Serikali ya Awamu ya Nane inayoongozwa na Rais  Dk.Mwinyi kwa jitihada  inazofanya  kuwaletea  Maendeleo  Wazanzibari  na Kuendelea Kudumisha Amani na Utulivu kwa Taifa   .

📅20 Februari 2023,

📍Ikulu ,Zanzibar.

0/Post a Comment/Comments