FEZA KESSY ALAMBA UBALOZI GWALABET


************

Na.Timothy Marko 

KAMPUNI ya Gwalabet imemteua Fezza kessy kuwa balozi wa kampuni ya Gwalabet akizindua kampeni hiyo itawayo "Jipigie tu".

Fezza kessy amesema kuwa wachezaji wa Gwalabet watatakajiunga na kampuni hiyo watanufaika kupitia beti hiyo kwa Kila mkeka endapo ataweka kiwango  Cha shilingi mitano mshindi atapata pointi za Bure katika kinyang'anyiro Cha kushinda shilingi Milioni Moja kwa Kila wiki.

"Kila mteja mpya anayecheza atapata fursa yakubeti Bure kwa siku Saba mfulizo,nakwawalewenyesimu za vitochi wataweza kucheza kupitia *149*28#"Alisema Fezza kessy.

Naye Meneja Masoko wa kampuni hiyo ya Gwalabet Steven Mokiwa amesema kuwa kutokana nautafiti wa kampuni hiyo wamegundua kuwa wateja wa Gwalabet wanapenda Huduma za kampuni hiyo wengi wao hawanasimu janja wanasimuza vitochi Hali inayopelekea kutokushiriki mchezo huo.

Alisema kuwa Kama unasimu ya kitochi kupitia namba *149*28# wateja wanaotumia vitochi nawanaobeti kupitia vitochi hawatakatwa.

0/Post a Comment/Comments