MABAHARIA WATAKIWA KUKUZA UJUZI WAO ILI KUWEZA KUPENYA KATIKA SOKO LA AJIRA KIMATAIFA.

 



                                      *************

Na.Timothy Marko  Dar es salaam. 

Wito umetolewa kwa mabaharia nchini kujiendeleza kitaluma ilikuweza kupenya katika soko la Ajira lillopo nje ya nchi na ndani ya nchi.

Akizungumza Mara baada ya kumaliza mafunzo ya ubaharia nchini yaliyo fannyika jijini Dar es  salaam kwa siku tano Mkurugenzi wa  wakala wa meli nchini TASAC Rajab Moses amesema kuwajumla yawahitimu wa kila mwaka katika chuo cha ubaharia DMI ni 4000 hali inayoonesha idadi ndogo ambapo idadi hiyo haikidhi Matakwa ya  ya sekta yaubaharia Duniani.

"Kumekuwa naupungufu wa mabaharia Duniani ,hii fursa ya kipekee kujiunga na chuo hiki ili wanafunzi weweze kupata ujuzi".Alisema Mkurugenzi Rajab Moses. 

Mkurugenzi  wa TASAC Rajab amesema kuwa taasis hiyo imekuwa kikiajiri mabaharia wa kigeni huku wakipewa nafasi ndogo kwenye ajira.

Aliongeza kuwa kumekuwa naidadi ya ndogo ya watalamu wazawa katika hali inayohatarisha ajira kupitia sekta hiyo.

"Mafunzo hanayo walenga wanafunzi wasio enda kwenye kozi ya ubaria".Alisisitiza Rajabu Moses 

Kwa upande wake Mkufunzi wa mafunzo hayo yaubaria captn .Haruna Ally amesema kuwa  mamlaka hiyo imekuwa ikiajiri watu wenye ujuzi waubaharia.

Haruna amesema kuwa lengo ya mafunzo hayo yasiku tano nikuongeza mbinu na ujuzi.

"Suala laukosefu wa vifaalimekuwa nikikwazo katika utoaji wa maf unzo hayo ya ubaharia ".alisema Mkufunzicaptain Haruna Ally.

0/Post a Comment/Comments