MASANJA MKANDAMIZAJI NA LILIANI MWASHA WAHAMIA TV E

 

***************
Mkurugenzi wa kituo cha EFM Majizzo  amezindua kipindi kipya cha dini kupitia TVE ambacho kitakuwa kinaendeshwa na  Masanja mkandamizaji na Lilian mwasha   

Majizzo ameeleza kuwa Watangazaji hao Masanja Mkandamizaji Na Liliani Mwasha mkandamizaji  wamehamia TVE

Ikumbukwe walikuwa kwenye kipindi cha Worship cha wasafi Media.

#Bongo5 

0/Post a Comment/Comments