****************
Timothy Marko.
SERIKALI imewataka Wafanyabiashara kuhakikisha wanapoagiza bidhaa nchini kuhakikisha wanazingatia sheria ikiwemo kuhakikisha bidhaa zote zinakuwa na Nembo ya nchi zilipozalishwa ilkuondokana natatizo la bidhaa bandia.
Akizungumza na waandishi Habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi wa Tume ya ushindani FCC William Erio amesema kuwa nimuhimu kwa Wafanyabiashara kufanyabiashara kwa kuzingatia matakwa ya sheria.
"Nia yetu kufanya Biashara katika Mazingira Mazuri ilikuwezesha makakapuni kuweza kulipa kodi".Alisema Mkurugenzi William Erio.
Mkurugenzi Erio alisema kuwanivyema bidhaa inayoingizwa nchini ijulikane inatoka wapi.
Alisema ilikuweza kujua bidhaa inatoka wapi endapo itajulikana inamatatizo.
"Sheria inataka Mzalishaji wa bidhaa Anuani yake inatoka wapi?".aliongeza
Mkurugenzi William Erio.
Kwa upande wake Mzalishaji wa spea za pikipiki wa kampuni Wuhua Huang amesema kuwa aiomba seikali kuweza kutengeneza Mazingira ya uagizaji wa bidhaa kwa pamoja ikiwemo tume ya ushindani kujenga fursa wafanyabira kukakaguliwa bidhaazao kwa pamoja kupitia tume hiyo.
Naye Mkurugenzi wa udhibiti Bandia Bandia Khadija Ngasongwa amesema nimuhimu kwa
wasambazaji wabidhaa nimuhimu wakakajiridhisha kuwa bidhaa hiyo inakidhi viwango kabla ya kuwauuzia wengine.
Alisema kumekuwa na changamoto ya Asili ya bidhaa ya cement wakatiwakutathimini ubora kipindi cha uhitaji.
"Sheria inataka bidhaa hiyo ioneshe inatoka wapi ".Alisema Mkurugenzi wa udhibiti ubora Khadija Ngasongwa.
.

Post a Comment