JAMII YATAKIWA KUPINGA VITENDO VYA MMOMONYO'KO WA MAADILI


                                              **********

Timothy Marko 

Waziri wa maendeleo yajamii jinsia Wanawake Makundi maluum Dorothy Gwajima ameitaka jamii kupinga mmong'onyoko wa maaadilli kama Agenda ya 45kitaifa.

Akizungumza katika kikao kilichokutanisha wasanii na viongozi wa dini Dk Dorothy Gwajima amesema nivyema jamii kuchukua agenda ya ummonyoko wamaadili kama Agenda maalumu ilikuweza kulinusuru taifa lijalo.

" Tatizo la mmong'onyoko wa maadili limepelekea ndoa nyingi kuvunjika nakusababisha kutokuwa na hofu ya Mungu".Alisema Waziri wamaendeleo ya jamii Dk Dorothy Gwajima.

Naye Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Mwananchi Bakari Machumu amesema kongamano hilo limewapa mwangaza wakutafuta vyanzo vya kupata taarifa. 

Dk Gwajima alisema nivyema jamii kuchukulia Agenda ya mmong'onyoko wa maadili kuwa Agenda yakitaifa.

Alisema kwenye Makabila kunataratibu za kuoa amejiandaaje watoto wanatumikishwa nakuahidi kuwa na Miongozo itayoijenga jamii kwa kuwashirikisha viongozi wakimila na viongozi wa dini.

"Dk samia suluhu amesema twende na mbinu zetu ikiwemo michezo namikusanyiko ya kijamii kupinga vitendo vya ukatili ".Aliongeza Dk Dorothy Gwajima. 

Aliongeza kuwa nimuhimu wizara hiyo kufanya kazi kushirikiana katika kuelimisha masuala mmong'onyoko wa maadili.

"Lazima tutokomeza tabia ya watoto kuwapeleka kwenye kumbi za starehe ili kutokomeza Mmong'onyoko wa Maadili".Alisisitiza Dk Dorothy Gwajima.

0/Post a Comment/Comments