JESHI LA POLISI:DAR NI SHWARI, TUMEDHIBITI UHALIFU


*****************

Timothy Marko 

JESHI la polisi limesema hali jiji la Dar es salaam imekuwa tulivu nakusisitiza itaendelea kufuatilia watu watakaojohusisha navitendo vya kihalifu nyakati za sikukuu.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini la Dar es Salaam Kamishina wa kanda Maalum Murilo Jumanne Muriro amesema kuwa jeshi hilo linatoa tahadharikwabaadhi ya watu kutumia nguvu katika kutafuta fedha nyakati za sikukuu. 

"Jeshi la polisi litaendelea kuhakikisha wananchi wanasherekea sikuu kwa Amani".Alisema Kamishina Muriro Jumanne Muriro. 

Kamishina Muriro amesema kumekuwa na taarifaza kihalifu katika Maeneo ya Goba,kiluvya,na Mbagala nawatu kuibiwa Runinga.

"Tunawatadharisha kabisa walenatakaojiuhusishanavitendohivyo hatutasita kuwachukulia hatua za kisheria".Aliongeza Kamishina Muriro.

0/Post a Comment/Comments