Timothy Marko
Tafiti zimebainisha kuwa Mikoa inayoongoza kwa uharibifu wa Mazingira nchini ni pamoja na Shinyanga Singida .
Akitoa taarifa ya utafiti huo Mkurugenzi wa Taasisi ya utafiti wa misitu (TAFORI) Dk Revocates Mshumbusi amesema kuwa lengo la utafiti huo nikujadili namna ya uokoaji wa misitu ya Asili.
"Uharibifu wa Mazingira ni Mkubwa sana unaotokana na matumizi ya binadamu ikiwemo kilimo cha kuhamahama,ufugaji,vyanzo vya maji na kushindwa kufuata utaratibu wa mipango miji"AlisemaDk Mshumbusi.
Dk Mshumbusi alisemakatika nchi32za afrikazilizokaa mwaka 2018 zimekuwa nalengo zakurejesha hekta milioni moja za upto wa asili ifikapo 2030.
"Ahadi kubwa tuiyonayo nikuendelea kutoa Elimu jinsi yakurejesha uoto wa Asili".aliongeza Dk MSHUMBUSI.
Kwa upande wake Mhifadhi mkuu wa huduma za misitu nchini Juma Mwangi amesema kuwa hekta lakinne na elfusitini huaribiwa kila mwaka hali inayotokana uanzishwaji wa makazi mapya.
"Mkutano huu utafungua fursa mbalimbali kwa wadaunakusaidia uongoaji wa ardhiiliyo haribika na kuhakisha aridhi inarudi kwenye haliyake "alisema Mwangi.
Aidha katika hatua nyingine Mkurugenzi wa Miradi kisiki Hai Njamasi chiwanga amesema tasisi yake inakusanya nguvu ilkukuweza kutimiza malengo.
"Taasisi yetu zaidi ya Asilimia 55 tunafanya kazi zaidi vijiji 400 ilikuweza kurejesha uoto wa asili"Alisema chiwanga.

Post a Comment