WAZIRI MKUU AKAGUA MAADALIZI YA MAADHIMIHO YA MEI MOSI KITAIFA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO

 

Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa akizungumza   baada ya kukagua na kupokea taarifa ya  maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)  2023 kitaifa  kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, Aprili  30, 2023.   Wa pili kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, kuilia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi,  kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwasa. (Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim  Majaliwa akizungumza  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako  (kulia) baada ya kukagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)  2023  kitaifa kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro, Aprili  30, 2023.   Wa tatu kuilia ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi,  kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Fatuma Mwasa na wa pili kushoto ni Ris wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUKTA), Tumaini Nyamuhokya. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

0/Post a Comment/Comments