Timothy Marko
Chama cha ACT -wazalendo kimeuomba serikali kuangazia mikataba ya ununuzi wa Ndege za shirika la ndege la Tanzania (ATCL)nakurekebisha mifumo ya umiliki wa ndege hizo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Waziri kivuli wa uchukuzi wa wachama hicho Mhandisi Juma Mtambo amesema katika Ripoti yaMdhibiti wa Hesabu za serikali CAG Charles Kichele imebainisha shirika hilo limepata hasara ya shiingi bilioni 35 inayotokana naumiliki .
'"Kumekuwa na hara injini mbili za ndege zimeharibika na uchungu zi umebainisha ndege hizo zilinuliwa mwaka 2016".Alisema Mhandisi Juma Mtambo.
Waziri kivuli wa uchukuzi Mtambo alisema kuwa ni vyema serikali kurudisha shirika hilo katika taasisi ya usimamizi wa ndege za serikali TGFA na kuwa chini usimamizi wizara ya ujenzi.
Alisema Nivyema wizara hiyo ikaangazia mikataba ya Manunuzi ya ndege hizo tangu 2016.
"Tunaiomba Serikali ipeleke fedha za kutosha katika shirika la ndege la Tanzania ATCL "Aliongeza Mhandisi Juma Mtambo.
Mhandisi Mtambo Aliongeza kuwa nivyema wizara uchukuzi kuangalia nakufanya utatuzi wa kero yamsongamano wa magari yamizigo bandarini.
Mtambo Alisisitiza kuwa hali msongamano wa Magari bandarini kunaongeza bandarini.

Post a Comment