BERNARD MEMBE AFARIKI DUNIA

                *******
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, .Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Taarifa kutoka watu wake wa karibu zinasema kuwa Membe aliyewahinkugombea urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo alipata changamoto ya kifua na kupelekwa Hospitalini hapo na baadaye.
#RIPMembe

0/Post a Comment/Comments