Akizungunza leo Mei 29,2023 Jijini Dar es salaam Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam Media Yahaya Mohamed wakati wa hafla ya kutambulisha filamu mpya ya kisayansi ya "EONII " amesema filamu hiyo inalenga kuonyesha vipaji na uwezo mkubwa ndani ya tasnia ya filamu na kutangaza kwa fahari ya wasanii kazi zao .
"Kama taasisi tukiwa na maono ya kuimarisha tasnia ya filamu ya Tanzania katoka soko la kimataifa,Azam TV na Power Brush Studio tumeshirikiana kutengeneza "EONII"kwa kutumia timu ya utayarishaji wa ndani yenye ujuzi inaonyesha simulizi wa hadithi na utaalamu wa kiufundi katoka tasnia ya filamu Tanzania na kutoa vipaji"amesema yahaya
Afisa Mtendaji Mkuu amesema kuwa filamu hiyo imezinduliwa na itaonyeshwa katoka kumbi za filamu maarufu kama theatre kwa kiingilio nafuu sana ambapo viingilio vitatangazwa hivi karibuni katoka mikoa ikiwemo Dar es salaam ,Mwanza,Arusha,Dodoma,Tanga,
"EONII" filamu imebeba hadithi ya kuvutia ugunduzi wa kisayansi katika uhitaji wa nishati ya uhakika na ombwe kubwa kukosekana kwake kunakozua taharuki katika jamii husika madoido ukisasa unaotumika kuzungumzia mkasa huu itabaki kama alama ya furaha mioyoni mwa Watanzania wengi wapenzi wa filamu"amesema Mohamed
Kwa upande Mkurugenzi wa Studio za Power Brush Eddie Mzale aliongeza kwa kusema kuwa "timunyetu imewekeza ubunifu na maarifa yeti mioyo kuandaa "EONII " na wanajivunia sana kwa namna filamu hii ilivyotoka kuanzia ubora mpaka hadithi yenyewe hivyo wanaamini filamu hii siyo tu inavutia watazamaji ulimwengu kote lakini pia kama chachu ya ukuaji wa tasnia ya filamu ya Tanzania .
Aidha Kiu ya Serikali ya Tanzania na Wizara husika ni kuona Wasanii wanapiga hatua katika filamu zao Kimataifa Azam Media LTD na Power Brush Studio kiwahakikishia Watanzania wote kwa mchanganyiko wa vipaji vya Watanzania,Usimulizi wa hadithi za kuvuti


Post a Comment