*********
Na Timothy Marko Torchmedia
Benki ya kibiashara ya Tanzania (TCB) imeingia makubaliano na Benki ya Letshego yakutoka nchini Botswana ili kurahisisha huduma za kibenki ikiwemo kutuma Mihamala nakupokea fedha kutoka Benki hizo mbili.
Akizungumza na waandishi Habari mapema leo jijini Dar es Salaam Mkurugenzi mtendaji wa TCB, Jema Msuya amesema Mteja ataweka fedha matawi 82 pamoja na Benki ya Letshego nchi nzima .
"Muunganao huu upo katika mfumowa tehama ,mfumo huu unamuwezesha mteja wa benki zote mbili kupata huduma anayostahili".Alisema Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania commercial Bank Jema Msuya.
Naye Mkurugenzi wa Bodi ya Benki letshego Saimon Jengo amesema huduma inayozinduliwa leo itamumuwezesha Mteja kupata huduma za kibenki kupitia taasisi hizo mbili.
Alisema let's shegobank nibenki ya bostwana inalego la kuwainua Wafanyabiashara wadogowadogo wakati pamoja na viwanda ilikuwainua Wafanyabiashara kiuchumi.


Post a Comment