PAMBANO LA NGUMI BONGO FIGHTING CHAMPIONSHP KUFANYIKA JULAI 29








                     """""


Pambano la musaai kuzinduliwa leo katika ukumbi wa super dome ambalo litakalofanyika tarehe 29 mwezi wa 7 miamba hiyo miwili emmanuel shija na abduli ubaya kugombania ubingwa wa wu 3 nation championship  ambao utakaofanyika kwa mara ya kwanza nchini tanzania 

masumbwi hao wawili emmanuel shija na abduli ubaya wamejipanga vizuri kukutana na kuwania ubingwa huo wa w3 nation championship na kutambiana kwa kila mmoja wake na kuoneshana uwezo wa kuchukua mkanda

pambano hilo la super dome limedhaminiwa na startimes,clouds,supa komando,palm beach casino na lipa namba.

0/Post a Comment/Comments