Kaimu Mkurugenzi wa Maonesho ya kimataifa ya sabasaba nchini (tan trade) Fortunus Mhambe amewataka watanzania kushiriki maonesho ya kibiashara yanayotarajia kuanza mwishoni mwezi juni 28 mwaka huu.
Akizungunza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Fortunus Mhambe maonesho hayo ya kimataifa yanatarajiwa kuhudhuriwa na nchi washiriki 11 ikiwemo nchi za china,UAE,kenya,uganda,Pakistan, Bangladeshpamoja na india.
"Wakati makampuni ya kutoka nje yaliyotoa uthibisho wa kushiki maonesho haya ni makampuni114wakati makampuni ya ndani yanchi 1317yaliothibisha ushiriki" AlisemaFoturnatus Mhambe.
Kaimu mkurugenzi Mihambe alisema kuwa sekta nane zinatarajiwa kushiriki maonesho hayo ya kimataifa ya kibishiara.
Katika hatua nyingine Katibu Mtendaji wa chemba ya Biashara nchini Mhandisi Benjamin Mchwapaka amesema tasisi hiyo inaratibu shughuli za uchimbaji kwa makampuni ya uchimbaji kutoka nje ikijumuisha makampuni ya Geita Gold pamoja na Shanta ambapo katikamaonesho hayo yataonesha shughuli zinazofanywa na taasisi hizo hapa nchini.
"Lengo la nchi nikuwa na Eneo la kibiashara la madini la pamoja". alisema Mhandisi Mchwapaka.
Aidha ,Mkurugenzi wa kampuni ya Tanzania kwanza strategic Francisis Daudi amesemakuwa taasisu hiyo inalenga kutangaza huduma vivutio pamoja na rasmali watu.
Alisema lengonikuwakutanisha wadau wote wataasisiza madini waweze kukutana.
" mkutano huu unalenga kujadili mchango wa madini pamoja na utatuzi wa changamoto ya sekta madini".Alisema Francis Daudi.


Post a Comment