WATANZANIA WATAKIWA KUTOKOMEZA MAZALIA YA MARALIA




"""""""""""""""""


Timothy Marko
Balozi wa Maralia nchini Zuwena Mohamed "Shishi Baby"amewataka Watanzania kutokomeza mazalia ya mbu ikiwemo kufukia madimbwi ili kutokomeza ugonjwa huo ifikapo 2030.

Akizungumza katika uzinduzi wa kongamano la kutomeza Maralia Jijini Dar es salaam zuena Mohamed arimaarufu Shishi baby, amesema kuwa kwa kushirikiana na Baraza la kutomeza Maralia nchini pamoja na Wizara watatumia mbinu mbalimbali ikiwemo utoajiwa Elimu juu yatokomeza ugonjwa huo .

"Suala la kutomeza Maralia ni lamimi nawewe nimeandaa wimbo maalum wa kutomeza za Maralia".Alisema Zuena Mohamed arimaarufu Shishi Baby.
Shishi baby Alisema atahakikisha Mkoa wa Tabora na mikoa mingine ambayo inamaambukizi makubwa ya ugonjwa huo wanapatiwa vyandarua .

Kwa upande wake Mwakishi wa bunge la Tanzania Dk.Hamis kigwangala ameomba Serikali kuendeleza mapambano ya kutomeza Maralia ifikapo 2030

Alisema Visiwani Zanzibar walianza mapema katika kudhibiti ugonjwa huo na kusisitiza Tanzania bara wapokatika hatua nzuri ya kutomeza Maralia.
"Tunatarajia huku Tanzania bara tutatafikia hatua nzuri katika kutokomeza ugonjwa wa Maralia". Alisema Dk.kigwangala.

Aidha, Muakilishi wa Mganga mkuu Ahamad Makuhani amesema kuwa tafiti zinaonesha kuwa Mikoa ya Mtwara,Shinyanga  nakagera kuwaipo hatarikubwa yakukumbwa na ugonjwa huo kwa asilimia20

Alisema Bado watafiti wanatafuta suluhu ya kwanini Tanzania bara inaongoza kuwa na maambikiziya Maralia.
"Ili kufikia 2030 kuweza kupunguza kiwango chamaralia nchini,Mikoa  Kilimanjaro ,Arusha, Dodoma imekuwa na maambikiziya chini ambapo waathirika wakubwa ni wamama wajawazito nawatoto chiniya umri yamiaka mitano.

0/Post a Comment/Comments