.........................
Timothy Marko Wakala wa Usajili wa Makapuni nchini (BRELA) imewataka Makapuni kuwasilishataarifa za wamiliki Manufa ilikuweza kudhibiti fedha haramu zinazotoka nje ya nchi.
Akizungumza katika warsha iliyokutanisha wakurgenzi wa taasisi za mabenki jijini Kaimu Mkurugenzi wa usajili wa kampuni na Majina ya Biashara BRELA Isdory Nkindi amesema kuwa zoezi la kuwa baini wamiliki manufaa kwenye kampuni linaendana sambamba naudhibiti fedha haramu nautakatishaji fedha kwenye makampuniy yaliyo namahusiano yanje yanchi au ndani yanchi hii nikwasababu benki tumekuwa tuhifadhi taarifa za taasisi.
"Kumekuwa na changamoto ya ufuatiliaji ya wamiliki wa makamuni, hili nijambo muhimu ndio maana tumewaita".Alisema Kaimu Mkurugenzi wa usajili wa kampuni na majina ya Biashara BRELA Isdory Nkindi.
Nkindi alisema kuwajambo hilolitawesha kujua wamiliki manufaa kwasababu wamiliki wa mabenki ni ndio wa Hifadhi taarifa.
"Changamoto ipokatika ufuatiliaji ilikuwapata wamiliki halali ".Aliongeza Nkindi.
Kwa upande wake Mkuu wa wilaya ilalaEdwine Mpogolo amesema kuwa kumekuwa na Baadhi yamakampuni yamekuwa yakikwepa kodinakusababisha fedha haramu.
Alisema sakata la Escrow na EPA lilitokana nafedha hizo kupita kwenye taasisi za kibenki.
"Ili kuhakikisha anaanzisha kampuni yenye Faida nayenye manufaa kwa jamii,kuna baadhi yamakampuni yanatengeneza Barabara zilizo Chini yakiwango hukumu inaenda kwa mmiliki wa kampuni "Alisema Isdory Nkindi.
Katika hatua nyingine Mkurugenzi wa Mabenki taasisi za mabenki Tuselege Joune amesema kuwa hilo nijambo jipya katika taasisi kwa sababu mabenki wanataarifa nyingi za kibenki.
"Ipochangamoto katika kufuatilia wamiliki halali wamakampuni"Aliongeza Tusekelege Joune.

Post a Comment