Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha sera ya uwekezaji katika sekta kilimo naviwanda nchini inapewa kipaumbele,Kituo cha uwekezaji nchini (TIC) imesaini kwaniaba ya serikali Makapuni 10 kwaajili yakukuza sekta mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa sukari za viwandani.
Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Dk Ashatu kijaji amesema kuwa uwekezaji wa makampuni hayo unalenga kukuza ushiriki wa sekta binafsi na umma katika kukuza uchumi.
"Mikataba yauwekezaji namakapuni haya yakimkakati ya sino Tank kibaha industrial limited, kilombelo sugar limited, Williemer Rise Tanzania limited, lake Cement limited yenye thamani ya dola bilion 1.5".Alisema Waziri wa Viwanda na uwekezaji Dk Ashatu kijaji.
Dk kijaji amesema kuwa utiaji wa mikataba hiyo juu ya uwekezaji inafuatia maboresho ya sheria uwekezaji ya mwaka 2022 ambapo kupita sheria hiyo imeondoa mikwamo yauwekezaji.
Alisema hivi karibuni Rais Dk Samia Suhulu aliwataka watendajikumsadia Rais katika uwkezaji.
"Ikmbukwe Rais Samia aliitaka taasisi ya kituocha uwekezaji ķujitamimi nakuona mchango wasekta ya uwekezaji kwakuzinganisha na taasisi za TRA, BRELA kuweza kuunganishwa nakituo chetu cha uwekezaji "Alisema Dk Ashatu kijaji.
Naye Mwenyekiti wa Bodi ya TIC Benedit mahenge alisema kuwa benedict Mahenge alisema kuwa ilikuhakikisha changa moto ya umemeinatekelezwa.
Alisema mikatabahiyo ya serikali ya awamu yasitaimelenga kukuza sekta uwekezaji.

Post a Comment