Na.Timothy Marko
SERIKALI imewataka wadau wa sekta ya Mawasiliano na tehama kutumia teknolojia katika sekta hiyo kutengeneza fursa mbalimbali za kiuchumi ilikuweza kuzalisha ajira.
Akizungumza katika kongamano la uwekezaji katika nyanja yakiditali kwa vizazi vijavyo (Investing Digital for sustain and inclusive Future ) jijini Dar es Salaam Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia Nape Nauye amesema kuwa serikali itaendelea kuchukua hatua mbalimbali ikiwemo kukusanya maoni ilikuhakikisha sekta hiyo inaimarika hapa nchini.
"Vyombo vya Habari vinawajibu wakuendeleà kuwaelimisha wananchi juu ya matumizi kijiditali kujiletea maendeleo".Alisema Waziri nape Nauye.
Waziri Nauye alisema kuwa ilikukuza sekta ya kidijitali Nivyema nyaraka za kitasisi ziwekatika mfumo wa kidigitali.
Alisema katika kuhakikisha sekta hiyo ilete ufanisi nchini Nivyema kuwepo na mabadiliko yakisera.
"SERIKALI itaendelea kuboresha mazingira yakiditali kwakuhamasisha matumizi yakiditali ".Aliongeza Nauye.
Mtendaji Mkuu wa mfuko wamawasiliano nchini (UCSAF) Justina Mashiba amesema katika ukuaji wa sekta yakiditali maeneo yavijijini yasiachwe nyuma.
Alisema Taasisi binafsi naumma zinazo mchango mkubwa katika kutengeneza fursa za kiuchumi.
"Mashirikiano kati ya sekta yaumma nasekta binafsi zinazomchango mkubwa katika kukenga uchumi ".Alisema Justina mashiba.
Wakati huohuo naye Mtendaji mkuu wa Gazeti la Mwananchi Bakari Machumu kunawajibu wakipekee kuelumisha wananchi juu ya mabadiliko yakiditali.
Alisema vyombo vyahabari vinavyo mchango wakuelimisha wananchi juuyamfumo wakidigitali.

Post a Comment