Timothy Marko
Katika kuhakikisha Afya ya Mama namtoto inaimarika, taasisi ya Wape tabasamu kwa kushirikiana Baadhi wachezaji wa klabu ya yanga wanatarajia kucheza bonanza litakalowajumuisha vijana wenye vipaji vya soka katika mkoa Morogoro .
Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mapema hiileo, kocha wa Bonanza hilo George Ambangile amesema kuwa bonanza hilolinalenga kubumbua vipaji vya soka kwa vijana sambamba nakutoa mchango kwa Jamii kwa Afya ya Mama na mtoto.
'"Shauku yetu nikiona wanamorogoro wanaona vipaji vya soka na kuhakikisha wanamorogoro wanapata kuwaona wachezaji watimu ya yanga natimu nyinginezo mbashara".Alisema kocha wa Bonanza hilo George Ambangile.
Ambangile alisemakuwa nivyema waakazi wamorogoro wakajitokeza juni30 ilikuweza bonzahio ambapo waziri ummy Mwalimu atakuwa mgeni rasmi wa Bonanza hilo.
"Kiingilio cha Bonanza hili nishilingi 2000 ambacho nirafiki kwa wakaazi wamorogoro".Aliongeza George Ambangile.
Naye Meneja wa Mashindano hayo ya wape tabasamu George Job Mwanachi yeyote anakaribishwa kuchangia kupitia Akaunti namba 01337513170 au kwanamba yasimu ya 0712209668.
Alisema lengo nikupata vitanda wodini namashukana vifaa vya Mama wajawazito.
"Tiketi za bonanza la wapetabasamu zipatikana kabla yamchezo huo kupitia lipa kwa Airtel money 130598" Alisema Meneja wa Mashindano George Job.
Kwaupande wake Kibwana shomari mchezaji wa yanga amesemakuwa msimu huu wamelenga kuzimarisha afya yamama namtoto.
Alisema tutakuwanatimu kubwa kibwana shomari sambamba na Dickson Job nakuwataka wapenzi wa yanga waweze kupata furaha.
Aidha kocha bonza hilo ally kamwe hapo awali mashindao hayo waliweza kuipatia magoli3-0.
Katika bonza hilo wanatarajia kuwahusisha Barka nakibu denis.

Post a Comment