Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha soko la filamunchini watanzania wametakiwa kuangalia kwenye Maneo maalum yakuangalia Filamu badala ya kuangalia filamu hizo kwenye mabanda yasiyo rasmimishwa na Bodi ya filamu nchini.
Akizungumza katika uzinduzi wa filamu ya EONll inayooneshwa katika kisimbuzi cha Azam TV Afisa Mtendaji wa Azam TV Yahaya Mohamed amesema kuwa ilikuweza kukuza soko la filamu nchini watanzania wanapaswa kuangalia filamu za kitanzania katika maeneo yaliyorasmishwa na bodi ya filamunchini.
"Nivyema watanzania wakarejesha utamaduni wakuangalia filamu kwenye maeneo ya kisasa na kuachana na tabia yakuangalia filamu kwenye maeneo yasiyorasmi alimaarufu" vibanda umiza" "Alisema Mtendaji mkuu wa Azam TV Yahaya Mohamed.
Afisa Mtendaji Yahaya alisemakuwa kwasiku za hivi karibuni soko lafilamulimekuwa likichangia Dola lakimbili kwenye pato lataifa.
Alisema nchini imekuwa ikichangia bilioni2.2 huku ikishika nafasi ya pili kwenye uchumi kwa asilimia 19 wakati sekta ya madini ni asilimia 10 ya pato lataifa.
"Sekta ya filamu nchini imekuwa ikikuwasiku hadisiku nawataka watanzania kupenda filamu zaobadala kupenda zakutokanje".Aliongeza Yahaya Mohamed.
Kwa upende wake Afisa Mtendaji mkuu wa bodi ya filamu nchini kiago kilonzo alisemakuwa sekta ya filamu imekuwa ikikuwa kwa kasi hasa filamu za kitanzania zimekuwa na ushindani mkubwa katika soko la filamu Duniani.
Alisema filamu zimekuwa zilishindanishwa nafilamu za Canada Toronto ambapo katika mashindano hayo filamu za kitanzania zimekuwa namvuto wakipekee.
"Kila soko lafilamu linahadhira yake kwahiyowaandaji wa filamu watoe hadhira sahihi kwa ajiliya kuangalia filamu nchini ".Alisema kilonzo.
Ĺ

Post a Comment