..........................
Timothy Marko
MAMLAKA ya usafiri nchi kavu nchini (Latra) limeitikia wito wa Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa nakubainisha kuwa itaendelea kufuatilia utaratibu kwa makini uliowekwa Wizara yamambo ya ndani kwa kushirikiana nawizara yauchukuzi kuwa ruhusu madereva wa mabasi kutembea nyakati za usiku.
Awali juni 28 mwaka huu Wakati akiarisha mkutano wa11 wa bunge la 12 la Jamuhuriya Muungano wa Tanzania Waziri mkuu Kassim Majaliwa aliitaka wizara ya Mambo ya ndani kushirikiana na wizara ya uchukuzi kuweka utaratibu wamiliki wa mabasi ya abiria na Madereva wamabasi hayo kusafiri ya nyakati za usiku.
Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo Habibu Suluo amesema kuwakuanzia julai5 mwaka huu Mabasi yayaendelea kufanya safari zao kuanzia saa 12 Asubuhi na kuendelea ambapo magari38 yamepewa Kibali yakusafiri masaa 24.
"Ambapo kati ya magari hayo 10 yanayo Anza safari zake saa 9 Afajiri naMabasi 28yataanza safari zake saa11 Alfajiri".Alisema Mkurugenzi Habibu Suluo.
MKURUGENZI suluo alisema kuwa hatua hiyo sio adhabu bali niutaratibu wamamlaka hiyo lengo nikuhakisha usalama wa abiria na Mali zao.
Alisema hapo awali mamlaka hiyo imewahi kusitisha lesseni za mabasi sita ikiwemo New force kutokana nakukithiri kwa ukiukwajiwa sheria za Barabarani kwa mabasi hayo.
"Nakuelekeza madereva wa kampuni hiyo waweze kurudi darasani ambapo kampuni hiyo iliwapeleka madereva wake kwenyechuo cha NIT".Aliongeza Habibu Suluo.
Suluo lisisitiza kuwa Latra inaendelea nakufanya uchunguzi kwenye menejimenti katika kampuni hiyo kama wanatimiza masharti ya uajili.

Post a Comment