........................
Na.Timothy Marko
Kampuni ya Bia nchini imeongeza mauzo yake kwa asilimia 11kutoka shilingi bilion 507 hadi kufikia shilingi 688.
Akizungumza na Wanahisa wa kampuni hiyo jijini Dares Salaam Mwanahisa Maharage Chande amesema kuwa ongezeko hilo ni chakipindi cha miezi sita,chakampuni hiyo.
"Lengo la mkutano huu nikutoa taarifa kwa wanahisa juu ya mwendendo wa hisa nakusisititiza wanahisa kuboresha taarifa za wanahisa ".Alisema Maharage Chande.
Maharage alisema mwanahisa anaweza kuhusisha taarifa zakekwakutumia simu.
Alisema kumekuwa na changamoto Baadhi ya wanahisa hawaboreshi taarifa zao.
"Kumekuwa natatizo la Baadhi ya vituo wanahisa bado hawajaboresha taarifa zao".Aliongeza Maharage Chande.
Kwa upande wake Mwanahisa Silvanus Pius wa kampuni TBL alihoji kutopata taarifa za mwenendo wa soko.
Hata hivyo,Maharage Chande aliwataka wanahisa kufuatilia taarifa za Mwenendo wa soko la kampuni kupitia Magazeti.

Post a Comment