Timothy Marko
Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya kibiashara ya CRDB imeingia makubaliano yauzinduzi wa kadi ya uwanachama inayoambatana Bima.
Akizungumza na Waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya kibiashara CRDB Stephano Abel amesema kuwa mwanachama wa yanga atapata huduma zote kwenye Makao makuu yabenki ya CRDB na matawi yote ya benki hiyo.
"Kwenye kadi hii utapata bima ya maisha ,ukiwa na maswali njoo tawini".Alisema Stephano Abel.
Katika hatua nyingine Msemaji wa klabu ya yanga Ally Kamwe katika kuelekea wiki ya wananchi klabu hiyo imewatambulisha wachezaji watatu Gift Frank,Nickson kibabage,Jonas Mkude.

Post a Comment