Timothy Marko.
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suhulu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi ya Harambee ya kuchangia chuo cha watu wenye Ulemavu korowa kilichopo Mkoa wa Tanga Agosti 18 Mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Askofu wa Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania Msafiri Mbwilu amesema Changizo hilo lina lengakuwasaidia Watoto wenyemahitaji Maalum ilikuweza kupata Elimu.
"Dini iliyosafi nikuwaSaidia Wajane naYatima,Chagizo hili linalenga kuwa saidia watoto kituo cha kulelea watu wenyemahitaji maalum korowa katika Mkoa wa Tanga"Alisema Askofu Msafiri Mbwilu .
Katika hatua nyingine Msanii Wamaigizo Steve Nyerere amesema kuwa Chagizo hilo lina lenga kuwasaidia watoto wenye ulemavu.
Alisema Hatua hiyo Rais kutoa Chagizo kwa watoto hao katika kanisa la KKT ni lakwanza .
"Mheshimiwa Rais amelipokea kwa mikono miwili kuhakikisha wanapata Matibabu ya watoto hawa".Alisema Steve Nyerere.

Post a Comment