RAIS WA INDONESIA KUWASILI LE0 JIJINI DAR ES SALAAM.


 """"""

Timothy Marko

Rais wa Indonesia Joko Widodo anatarajiwa kuwasili leo jijini Dar es salaam.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Segomana Tax amesema ujio wa Rais wa indonesia Jopo Widodo ni ziara ya pili nchini ya Rais wa indonesia kuja hapa nchini  tangu Rais      Seogado wa nchi hiyo tangu 1991.

"Rais Joko widodo anatarajiwa kuwasili leo jioni jijini Dar es salaam,nakupokelewa na Mwenyeji wake Rais Dk.Samia Suluhu Hassan  nakufanya Mazungumzo kesho ikulu jijini Dar es Salaam".Alisema Waziri wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk.Stegomana Tax

Dk.Stegomana alisema  Rais Dk. Samia suluhu anatarajiwa kufanya Mazungumzo ya Rais Widodo ikulu jijini Dar es Salaam kesho .

Alisema Moja ya agenda zitakazozungumzwa nikukuza  ushirikiano katika Sekta ya Afya ,Nishati, Madini ,Biashara na uhamiaji .

"Ushirikiano wa indonesia na nchi ya Tanzania unafuatiwa na Mkutano wa bandu ulioziunganisha nchi za Asia Afrika katika harakati za kujikomboa na ukoloni,Sisi ni wanachama wanchi zisizofungamana naupande wowote"Aliongeza Dk Stegomena tax.
DK.Stegomena tax

 Aliongeza kuwa Tanzania iliingia ushirikiano wa kidiplomasia na nchi yaindonesia tamgu mwaka 1961nakufungua ubalozi wa nchi hiyoMwaka 2022.

"Tumekuwa tukishirikiana katika miradi mitano katika sekta ya ujenzi  pamoja kilimo"AlibainishaDk stegomena Tax.

Dk.Stegomena alisisitiza moja ya Agenda ya Rais huyo na Rais Dk Samia Suluhu Hassani  Mazungumzo ni kuboresha Soko na zao la Mchikichi nakuimarisha kilimo ,uvuvi,Nishati ,uhamiaji nauchumi wa Blue.

DK.Stegomena tax Aliongeza kuwa Tanzania iliingia ushirikiano wa kidiplomasia na nchi yaindonesia tamgu mwaka 1961nakufungua ubalozi wa nchi hiyoMwaka 2022.

"Tumekuwa tukishirikiana katika miradi mitano katika sekta ya ujenzi  pamoja kilimo"AlibainishaDk stegomena Tax.

Dk.Stegomena alisisitiza moja ya Agenda ya Rais huyo na Rais Dk Samia Suluhu Hassani  Mazungumzo ni kuboresha Soko na zao la Mchikichi nakuimarisha kilimo ,uvuvi,Nishati ,uhamiaji nauchumi wa Blue.

0/Post a Comment/Comments