SERIKALI YAZITAKA AZAKI KUTOA MCHANGO KATIKA KULETA MAENDELEO YA KIUCHUMI.

.........................

Timothy Marko

SERIKALI imezitaka Azaki za kirahia kuweza kuleta Matokeo chanya katika kuchagiza Maendeleo nchini.

Akizungumza katika kikao kilichokutanisha Azaki za kirahia nchini jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya nje na ushiriakiano wa Afrika Mashariki Balozi Samweli Shelukindo  amesema kuwa Serikali imekuwa ikithamini mchango asasi za kirahia katika kukabiliana na Umasikini, Mabadiliko ya Tabia ya nchi katika kuzisemea changamoto hizo nakuzitafutia ufumbuzi.

Alisema kuwa umoja wa Azaki Afrika (ECSOSOCC) unao mchango mkubwa wa kuhamasisha umoja wa Azaki hizo kkatika kuhamasisha umoja wa Afrika.

"Nchi ya Tanzania inatambua Mchango Azaki za kirahia zinazo chagiza Ukuwaji wa uchumi"AliongezaKatibu Mkuu wizarayamamboya NjeShelukindo .

Shelukindo Alibainisha kuwa kupitia Azaki za kirahia zinawafanya wasio na sauti kusikika.

Naye Muwakilishi wa Umoja wa Azaki Barani Af (ECOSOCC)Balozi Innocent UrginShio amesema lengo umoja wa Azaki barani Afrika  ni kuhakisha azaki  za kirahia zinatoa mchango kwa Serikali za nchi wanacha wa Bara Africa.

"Lengo nikutoa  ushauri kwa serikali kwenye umoja wa Afrika katika baraza la Mawaziri wa Mambo ya nje barani Afrika".

0/Post a Comment/Comments