SINGIDA BIG STAR JKU KUKIWASHA AUG 22.

 

                         ******

Timothy Marko.

Timu ya singida na Jk U inatarajia kuchuwana katika viwanja vya Chamazi Agost22 katika kutafuta hatua ya kwanza kwenda Shirikisho Barani Afrika.

Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa timu hiyo Hussen Masanza amesema kuwa hali yakikosi baada ya Mechi ngao ya jamii timu hiyo iponzuri lakini Kocha wa timu hiyo Burno Gomezi yupo Mapumzikoni nchini Brazil.

"Tunauhakika wa usafiri wa precision wachezaji wetu watafika salama".Alisema Masanza.

Masanza alisema wameweka viingilio rafiki ili kuwezesha mashabiki ilikuruhusu radha ya mpira.

"Bodi imeonelea vingilio viwebure ilikunogesha mashabiki kuja kuona mchezo huo"Aliongeza Afisa Habari wa klabu ya  Singida  Fountain Gate  Masanza .


Masanza alisisiza kuwa Ahadi kwa Mashibiki kwamashabiki wana imani kubwa na timu hiyo itaifanyia marekebisho ya kasoro za Awali za timu hiyo.

0/Post a Comment/Comments