UMUHIYA KIISLAM TANZANIA ,YAIOMBA KURATIBU MITAALA YAKE.

......................

Timothy Marko.

Jumuhiya ya Kiislamu Tanzania imeomba Serikali  kuendelea kuandaa mtaala ya Dini na Vitabu vya kufundishia.

Akizungumza jijini Dar es Salaam Alhajj Shelk Mussa Kundecha amesema Jumuhiya na taasisi za kiislamu nchini imepokea kwa masikitiko makubwa kwa Serikali kuja namfumo mpya wa masomo ya Dini.

"Kwamfano kwenye Serikali kuna Pombe halali na Pombe haramu wakati katika Uislamu pombe zote ni Haramu".Alisema Sheikh Mussa kundecha.

Shelkh kundecha alisema kuwa serikali haitakiwi kuipangia mitaala ya masomo ya Dini,Badala yake waziache taasisi za kiislamu kutengeza mitaala yao wenyewe.

"Somo la Dini haliwezi kuratidiwa na Serikali,waaziache taasisi za ziratibu mitaala yao wenyewe"Aliongeza Shelh kundecha.

0/Post a Comment/Comments