WAZIRI MKUU KUWA MGENI RASMI MAENDELEO MARATHON.

.......................

Timothy   Marko,Dar es salaam

Waziri MKUU wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa anatarajia Kuwa mgeni Rasmi wa mbio za Maendeleo Marathon zinazotarajiwa kufanyika Sept 2 Mwaka huu zikiwa na lengo kuchangia matibabu ya matatizo usonji . 

Mbio hizo za marathoni zitakazo jumuisha kilometa 21,10,2.5 zinalenga kuchangia mil200 kwaajili ya watoto wenye usonji.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji Benki ya Maendeleo  Dk Ibrahimu Mwangalaba amesema kuwa mbio hizo zitaendana sambamba na zoezi la uchangiaji wa Damu.

" Benki hii inawateja 65000 ina Amana ya Shilingi bilioni 81 na mikopo zaidimilioni 66"Alisema Dk Ibrahimu kalage.

Dk Kalage alisema Mashindayo hayo yanayotayarajiwa kuanza September 2 Mwaka huu yanalenga kuisemea jamii yenye usonji.

Alisema Kumekuwa na Baadhi ya wazazi wamekuwa wakiwaficha watoto wenye matatizo yausonji kupitia kampeni hiyo na mbio hizo inalenga kuwa Elimisha jamii hiyo kutowaficha wataoto hao.

"Sambamba nahilo kupitia Mbio hizi zinalenga kuchangia ujenzi wamajengo ya kuwatunza watoto waliozaliwa kabla  ya wakati Pre Mature ".AliongezaDk.kalage.

 

0/Post a Comment/Comments