AZAKI, SERIKALI ZA KUTANA KUJADILI MAGONJWA YASIYO AMBUKIZA.

 

*****

Timothy Marko.

KATIKA kuhakikishisha Azaki za kiraia zinashirikiana na Serikali katika kupambana na Magonjwa yasiyoambukiza nchini, Wizara ya Afya imekutana na wadau waazaki ili kuweza kujadili namna kutafuta ufumbuzi wa Magonjwa hayo.

Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es  Salaam Naibu waziri wa Afya Maryprisca Mahundi amesema kuwa katika kujadili namna ya kupambana na magonjwa yasiyo ambukiza Nchi 53 zimeweza kuthibitisha kushiriki mkutano huo ambapo Tanzania ni Mwenyeji wa Mkutano huo.

"Magonjwa yasiyo ambukiza na uhusiano wa kutotumia maji yasiyo salama kiwemo kichocho na magonjwa  ya kipindupindu."Alisema Naibu Waziri  wa Afya Mary prisca Mahundi.

Alisema  Hali ya Magonjwa yasioyo ambukiza bado nitishio ambapo Kati ya Wilaya68 zimeweza kupta Changamoto hiyo amapo wilaya 8 nchini zimekumbwa na changamoto ya magonjwa hayo.

 Naye Waziri Mkuu Mstaafu Samweli Malecela amesema mkutano huo unalenga tutafuta ufumbuzi wa changamoto za magonjwa yasiyo  ambukiza.

0/Post a Comment/Comments