................
Timothy Marko.
KATIKA kuhakikisha sekta ya Viwanda ikuwa hapa nchini,Shirika la Maendeleo NDC linatarajia kuwekeza shilingi trioni nane katika Miradi ya Chuma liganga.
Akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam Mkurugenzi Uendeshaji wa Shirika hilo Nicolus Shombe amesema kuwa katika Miradi ya Mchuchuma na liganga zaidi ya ajira 6000 zimeweza kutengenezwa katika mkoa wa Njombe.
" Kwa Mwaka huu tunatarajikuchimba tan 1500000 za Maakaa ya Mawe ambapo zaidi ajira500 zimeweza kutengenezwa".Alisema Mkurugenzi Nicolus Shombe.
Shombe alisema baadhi ya ajira hizo wanawake wameweza kupata ajira 200 wakati wanaume wameweza kupata ajira 300.
Alisema Shirika la NDC linalenga uwezo wa uzalishaji wa ndani katika kujenga uchumi wandani.
"Wananchi wengi katika watawezeshwa kupitia soko la hisa "Aliongeza Nicolus Shombe.

Post a Comment