PINDI CHANA ASISITIZA UTAWALA WA SHERIA.


.....................

Timothy Marko.

WAZIRI wa katiba na Sheria Dk Pindi Chana ameitaka ofisi ya Wakili wa Serikali kuzingatia utawala bora katika utendaji wake washughuli za serikali.

Akizungumza na ofisi hiyo kwa Mara ya kwanza tangu alipoteuliwa kuongoza taasisi hiyo iliyo chini ya wizara yakatiba na sheria jijini Dar es salaam Dk Pindi chana amesema nivyema taasisi hiyo kutatua changamoto za mirathi kupitia taasisi hiyo.

" Tumeanzisha DkSamia Suluhu Hassan Legal Aid ilikuweza kutatua tatizo la Msaada wa kisheria hasa kwa watanzania wenye changamoto ya Mirathi".Alisema Dk Pindi Chana.

Waziriwa katiba na sheria Dk Pindi Chana amesema kumekuwa na changamoto katika taasisi hiyo ya Usafiri na Bajeti katika kukabiliana Changamoto za kutekeleza majukumu yake.

Alisema Nivyema Mawakiliwaserikali kuhakiisha wanashinda kesi zinazohusu serikali ilikuweza kutekeleza 

miradi mbalimbali ya Maendeleo.

"Ofisi yawakili wa Serikali inalenga kulinda haki za Madai" Aliongeza Dk Pindi Chana.

DkPindi Chana alisisitiza kuwa moja ya majukumu ya taasisi hiyo nikuchunguza matukio ya Rushwa.

Alibainisha kuwa moja ya majukumu ya taasisi hiyo nikuchunguza maambikizi ya VVU.

"Moja majukumu ya kuratibu kesi zenye Maslahi ya taifa"Alisisitiza Dk.Pindi chana.

0/Post a Comment/Comments