Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha changamoto za utumiaji wa huduma za kifedha zinapata ufumbuzi nchini,Kampuni ya Tunzaa imeingia ubia na Vodacom kupitia huduma ya M-Pesa.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Meneja Malipo ya kidigitali wa Chanel za Mtandaoni Josephine Mushi amesema kupitia programu ya Tunzaa inawawezesha wafanyabishara wanaouza bidhaa kupitia jukwaa hilo mtandani.
"Watumiaji watunzaa wanaweza kulipa bidhaa kidogokidogo,progarmu yatunza inalenga kutunza fedha halafu nunua badaye kwa kudunduliza kidogo kidogo kwakipindi cha miezi sita" AlisemaMeneja huduma za Mitandaoni Josephine Mushi.
Mkurugenzi wa Huduma za mitandaoni kidijital na chanel za mtandaoni.
Josephine Mushi amesema Application ya Tunzaa inapatikana katika simu janja kwa kupakuwa appliation ya programu hiyo.
Alisema lengo la Tunzaanikuimarisha tabiachanya zakifedha kwa waafrika kuweza kununua bidhaa hiyo mtandaoni.

Post a Comment