*****
KAMPUNI namba ya moja ya michezo ya Kubashiri Tanzania ya Betika imetoa zawadi kubwa kuwahi tokea ya Basi jipya ya Daladala kwa mshindi Bakari Saidi Msoke kutoka Kibaha mkoa pwani.
Mbali na mshindi huo kampuni hiyo imemzawadia Bodaboda mpya Muhammed Ahmada kutoka Zanzibari
Akizungumza na waandishi wa Habari Afisa Habari wa Betika Tanzania,Rugambwa Jevenalius,amesema washindi hao wamepatikana kupitia kampeni kubwa ya Mbengo zimefungu kampeni maalum ya Betika aviator.
Rugambwa amesema Aviatoi ni mchezo wa kurusha kindege unaopatikana kupitia mtandao wa Www.Betika.co.tz. ambapo mchezo huo unachezwa kwa kurusha kindege na kikiwa angani Multiplier zinaongezeka ukibonyeza cash out unapata pesa yako.
"Kwenye kampeni yetu ukiwa unacheza aviator unaweka dau la elfu mbili na kuendelea" Amesema Rugambwa.
Hata hivyo,Rugambwa amesema Betika imekuwa ikiendesha promosheni ambazo zinachangia kubadilisha maisha ya watanzania kutokana na zawadi zinazotolewa.
"Baada ya promosheni hii tuna promosheni ya kubwa ya Mtoko wa Kibingwa ambapo watanzania 50 ambao watakuja kushuhudia derby ya kariakoo katika Jukwaa la VIP A Novemba 05,2033 Kwa Mkapa ''
''“Ni rahisi mshiriki anatakiwa kuwa na vigezo vya kushiriki ni pamoja na kubeti mkeka wenye mechi kuanzia 03 na dau la kubeti liwe kuanzia shilingi 2000 au zaidi'' amesema Rugambwa.


Post a Comment