
.,....................
Timothy Marko
Msanii Buto Wemba "Mwijaku amesema ili sekta ya Sanaa iweze kukua ni vyema wasanii wakajitathimini kuweza kutunga tungo zenye Mguso kwa jamii.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Butto Wemba "Mwijaku"amesema kuwa kipimo cha wanamuziki katika bara la ulaya Mwanamziki anafahamika kutokana na tunzo alizoshinda na umaarufu wa tunzo hizo.
"Kipimo cha umarufu wa Msanii ulaya nikutokana na Tunzo alizo shinda ndio maana mashabiki wanachagua nakupiga kura kwa msanii husika kutokana na Tungo zake"Alisema Mwijaku.
Mwijaku alisema nivyema wasanii wa Bongo wabadilike kwa kutunga tungo zisizokuwa na Matusi.
Post a Comment