SERIKALI YALENGA KUKUZA SEKTA YA ANGA NA UTALII

.................

Timothy Marko.

Katika kuhakikisha sekta ya Anga inakuza uchumi serikali imesema inatarajia kuwa ndege 16 ambapo hadi october 2 mwaka huu shirika la ndege Air Tanzania inamiliki ndege 14 huku mbili zinatatarajiwa kununuliwa mwishoni mwa mwaka huu wa fedha.

Akizungumza na waandishi wa Habari jiijini Dar es salaam Waziri wa ujenzi na uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa lengo la serikali nikuliinua shirika la ndege ili kuweza kuchochea sekya ya utaliii na uchumi.

"Shirika letu la AirTanzania bado lina Changamoto ikiwemo kuwahudumia wateja"Alisema Prof Mbarawa.

Profesa Mbarawa amesema kumekuwepo na vifaa katika shirika hilo la kufanya utafiti katika anga.

"Tumelenga kukuza sekta ya anga kwa kuwafunda watalamu wa wizara kupitia sekta ya Anga"Aliongeza Mbarawa.

0/Post a Comment/Comments