Timothy Marko
KATIKA kuhakikisha wabunifu wafanyabiashara,Makapuni na viwanda hawakutani na Vikwazo kusiana na Hakizao,MAHAKMA ya Tanzania kwa kushirikiana na Shirika la Miliki bunifu Duniani World interllectual Property Organasation(WIPO) inatarajiwa kuendeleza mashirikiano ya kiutendaji ikiwemo mafunzo ya utoaji haki kuhusiana miliki bunifu.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Afisa Mwandamizi kiungo baina ya Mahakama ya Tanzania na Wipo Upendo Ngitiri amesema Miliki bunifu nieneo nyeti linalo gusa nyanja zote za Binadamu ikiwemo Biashara,Tenknolojia Uchumi,na Maendeleo ya taifa kwa ujumla.
"Mafanikio makubwa yameweza kufikiwa kwenye mkutano Mkuu wa Majaji wa WIPO uliofanyika Geneva uswis ikiwemo kuwajengea uwezo wa uelewa kwa Wananchi kuhusiana na Haki bunifu"Alisema Afisa Mwandamizi wa Mahakama ya Tanzania Upendo Ngitiri.
Upendo Ngitiri alisema Mnamo 2019Mahakama ya Tanzania ilianza kushirikiana na Shirika la Miliki Bunifu Duniani (WIPO) na mnano tarehe 5 Marchi Mwaka 2021 iliamua kuingia hati ya Makubaliano na Shirika hilo.
Alisema kwalengo kurasimisha na kuongeza wigo mpana wa utoaji Haki
"Baadhi ya Maeneo ya Mashirikiano nikubadilishana Maeneo ya utoaji haki nakuwa jengea uwezo Waheshimiwa Mahakimu kupitia Mikutano na Makongamano mbalimbali pamoja na Semina"Alio ngeza Hakimu Mkazi Mwandamizi na Afisa kiungobaina yawipo na Tanzania.
Upendo Ngitiri alisisitiza kuwa Maeneo yaliyozingatiwa katika mafunzo hayo nipamoja nauandaaji wa Mtasari wa Maamuzi ya Mahakama naMiongozo ya kufundishia juu ya uboeshaji wa Utatuzi wa Migogoro kwa njia ya usuluhishi.
Kwa Upande wake Mtendaji Mkuu wa Mahakama Profesa Elisante Ole Gabriel amesema Mashauri Mengi ya Mahakama hufikia kwenye Ngazi ya Usuluhishi kwa Asilimia 70 ikiwa na lengo la kudumisha Amani nakuokoa Fedha.
Alisema Jitihada Mbalimbali zinafanyika ilikuhakikisha Miongozona kuhakisha waheshimiwa Mahakimu wanakuza uelewa wa Masuala ya usuluhishi.
" MAhakama ina endelea kutoa Elimu ya Usuluhishi kwa wananchi ilikuondokana nakutosikilizwa shauri Mahakamani"Alisema Profesa Elisante ole Gabriel.

Post a Comment