MLIONI 700 ZATENGWA KUMTUA MAMA NDOO KICHWANI.

                             *******
 

Timothy Marko

KATIKA kuhakikisha Dhana ya Kumtua Ndoo Mama kichwani inafikiwa Serikali imeitaka Mamalaka ya Majisafina majitaka Jiji Dar es Salaam (Dawasa) kuhakikisha wananchi wa jiji la Dar es Salaam6 kwa kipindi kisicho pungua wiki mbili.

Akizungumza katika hafla ya utiliaji  Saini na kampuni ya sinohydro  yakutoka china na Mamalaka yaMaji safi Dar es salaam(DAWASA) Waziri wa Maji Juma Aweso amesema Serikali imetenga zaidi shilingi milioni 700 ilikuweza kutatua changamoto ya Uhaba wa maji katika kata Vingunguti ,kivule,ukonga,mjimpya,Butiama ambapo jumla ya kaya 1150 zinatarajiwa kunufaika na mradi huo.

"Tanki hili la maji lenye lita milioni 900 ambapo ujenzi wake utachukua miezi 12 ambapo mabomba134 yanatarajiwa kusambazwa"Alisema Waziri wa Maji Juma Awesso.

Waziri Aweso alisema zaidi Bilioni 42 fedha za kutoka Benki ya Dunia zinatajia kukarabati miundombinu ya maji ikiwemo Tanki la maji la Bangulo.

"Mradi huu wa maji unatarajiwa kujengwa katika kata ya pugu mnadani unalenga kutatua Changamoto ya maji katika kata za ubungo,ilala,Temeke." Aliongeza waziri wa Maji Juma Aweso.

Naye DAS wa Kata ya Gongolamboto Chalangwa suleman amesema utekelezaji wa6 mradi huo unaendana sambamba utekeklezaji wa ilani ya Chama cha mapinduzi.

Alisema Serikali itahakikisha inakamillisha kwa wakati ikiwemo kuhakisha mkandarasi wa sinohydro wa kutoka china anakamilisha mradio kwa wakati.6

"mradi huu umedhamilia  kumtua mama ndoo kichwani ambapo wanawake 2019000 wanatarajiwa kunufaika namradi huu"Alisema DASChalangwa sulemani.


.

0/Post a Comment/Comments