.............
Timu ya Simba SC ya nchini Tanzania imeshindwa kutamba katika uwanja wake wa Nyumbani baada ya kulazimishwa sare ya kufungana goli (1-1) na Timu ya Asec_mimosas ya Ivory Cost.
Mchezo huo wa Klabu bingwa Afrika umemalizika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.
Simba walitangulia kufunga goli kipindi Cha kwanza lililofungwa Kwa Mkwaju wa Penalty na Saido Ntibanzonkiza Huku Timu ya Asec ikisawazisha katika kipindi Cha pili.

Post a Comment