TMA YATABIRI MVUA KUBWA KUENDELEA KUNYESHA,ATHARI KUTOKEA


 ....,............

Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imetoa tahadhari ya mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo ya Mikoa mbalimbali nchini ukiwemo Dar es salaam.

Kwa Mujibu wa Taarifa ambayo imetolewa na Mamlaka hiyo leo imeitaja Mikoa mingine kuwa ni na maeneo ya Mikoa ya Tanga, Morogoro Kaskazini,Pwani ikijumuisha visiwa vya mafia pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

Aidha kuhusu athari zinazoweza kujitokeza TMA imesema baadhi ya makazi kujaa maji,vifo vinaweza kujitokeza, kutokana na mafuriko Pamoja na kuathirika kwa baadhi ya shughuli za kichumi

0/Post a Comment/Comments