...........................
Timothy Marko
MKURUGENZI wa Bandari ya Dar es Salaam Mrisho Selemani Mrisho amepokea Meli kubwa ya kutoka Norway inayoitwa Darwn Norgian Cruse yenye urefu mita 294 na Gorofa 11.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam katika Mapokezi hayo katika Bandari hiyo Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam Mrisho selemani Mrisho amesema Ujio wa Meli hiyo unafatia maboreshoya Bandari hiyo unaoendana sambamba na kuongeza kina cha Bandari hiyo.
" Tumeongeza kina cha bandari kutoka mita 265 hadi kufikia 290 lengo nikufikia mita 3500,haya ni Mafanikio makubwa katika sekta Bandandari" Alisema Mkurugenzi Mrisho Selemani Mrisho
Mkurugenzi wa Bandari ya Dar es Salaam Mrisho Selemani amesema kuwa lengo nikuhakikisha meli kubwa kama hiyo zinaweza kuongia katika bandari hiyo pasipo matatizo yoyote .
Alisema unapokuwa na uwezo wakuingiza melikubwa una uwezo wa kuingiza mzigo mkubwa wa Makontena zaidi.
"Haya nimafanikio makubwa katika sekta ya Bandari"
Post a Comment